CHIMBUKO LA VIHISISHI – (SENSORS)

UTAMBULISHO  WA VIHISISHI – SENSORS

Sensorite Controls limited

Ni kampuni ya kitanzania , iliyojikita sana katika kuuza na kufundishi matumizi sahihi ya kila aina ya sensor .

Hivi kama unauhitajia wa sensor yeyote kama spare, project za shule ,mitambo yako , na maboresho ya usalama katika majukumu yako ,  sensorite ni suluhusho lako

Usiruhusu mtambo wako kushindwa kujiendesha kwa kukosa vitu vidogo vidogo kama sensor

Hapa awali , mitambo mingi  ya uzalishaji iliendeshwa kwa umakini mkubwa sana kwa kutugemea sana  milango mitano ya fahamu ya binadamu

Ngozi, macho, pua, Ulimi, masikio,

Hivyo kutokana na uhitaji wa haraka sana kufannya maamuzi , na uhatari wa mazingira kama vile mgadamizo mkubwa  na joto kubwa (high pressure, temperature) , ugumu wa kutambua hali kwa maana kutokutambulika na milango mitano  ya  fahama

Hapo ndipo vihisishi (Sensors) ziliingia katika uhitaji mkubwa

Kuna aina nyingi sana za sensors, kutegemeana na mazingira , aina ya taarifa zinazotoa

  • Electrical signal sensor
  • Mechanical sensor
  • Etc ,.

Katika blog , hii tumejikita sana katika eneo la electrical signals sensorsl , au kutoka hali nyingine kwenda katika taarifa zingine za  umeme

Aina za  sensor ( type of electrical  sensor )

  1. Analogy sensor / analogia
  2. Digital sensor / digatali
  1. Analogia / Analogy sensor

Hizi ni aina za vihishi ambavyo venye vimejikita sana katika kutoa muendelezo wa signal katika hali ya uendelevu , kama vile  joto, umeme, au pressures sensor

Mfano  

  • Pressure sensor
  • Fuel Level sensor- in automotive
  • Voltage sensor –
  • Temperature sensor
  • Digital sensors

Hizi ni aina za sensor ambazo muda wote zintao taarifa katka hali mbili tu ,  NDIYO  au HAPANA,   (TRUE or FALSE ), kwa maana   0 / 1

Mfano.

  • Switch ya kuwashia taa
  • Push button
  • Light sensor

Kwa leo naomba kuishia hapo,

Kwa mahitaji ya sensor ya aina yoyote , usisite kuwasiliana nasi kwa

Namba 0758520527   info@sensorite.co.tz

Instrumentation Engineer,

At Sensorite controls  limited

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *