UTAMBULISHO WA VIHISISHI – SENSORS
Ni kampuni ya kitanzania , iliyojikita sana katika kuuza na kufundishi matumizi sahihi ya kila aina ya sensor .
Hivi kama unauhitajia wa sensor yeyote kama spare, project za shule ,mitambo yako , na maboresho ya usalama katika majukumu yako , sensorite ni suluhusho lako
Usiruhusu mtambo wako kushindwa kujiendesha kwa kukosa vitu vidogo vidogo kama sensor
Hapa awali , mitambo mingi ya uzalishaji iliendeshwa kwa umakini mkubwa sana kwa kutugemea sana milango mitano ya fahamu ya binadamu
Ngozi, macho, pua, Ulimi, masikio,
Hivyo kutokana na uhitaji wa haraka sana kufannya maamuzi , na uhatari wa mazingira kama vile mgadamizo mkubwa na joto kubwa (high pressure, temperature) , ugumu wa kutambua hali kwa maana kutokutambulika na milango mitano ya fahama
Hapo ndipo vihisishi (Sensors) ziliingia katika uhitaji mkubwa
Kuna aina nyingi sana za sensors, kutegemeana na mazingira , aina ya taarifa zinazotoa
- Electrical signal sensor
- Mechanical sensor
- Etc ,.
Katika blog , hii tumejikita sana katika eneo la electrical signals sensorsl , au kutoka hali nyingine kwenda katika taarifa zingine za umeme
Aina za sensor ( type of electrical sensor )
- Analogy sensor / analogia
- Digital sensor / digatali
- Analogia / Analogy sensor
Hizi ni aina za vihishi ambavyo venye vimejikita sana katika kutoa muendelezo wa signal katika hali ya uendelevu , kama vile joto, umeme, au pressures sensor
Mfano
- Pressure sensor
- Fuel Level sensor- in automotive
- Voltage sensor –
- Temperature sensor
- Digital sensors
Hizi ni aina za sensor ambazo muda wote zintao taarifa katka hali mbili tu , NDIYO au HAPANA, (TRUE or FALSE ), kwa maana 0 / 1
Mfano.
- Switch ya kuwashia taa
- Push button
- Light sensor
Kwa leo naomba kuishia hapo,
Kwa mahitaji ya sensor ya aina yoyote , usisite kuwasiliana nasi kwa
Namba 0758520527 info@sensorite.co.tz
Instrumentation Engineer,
At Sensorite controls limited


Hongera Sana kwa somo zuri
Es ist der perfekte Weg, um dein Spielen zu verbessern und das Beste aus deinen WГјrfen herauszuholen.
You’ve managed to create something both thought-provoking and deeply comforting — not an easy feat.