Habari rafiki yangu,
leo naomba tuangalie hiki kifaa maalumu kinacho julikana kwa jina la Linear position displacement transducer
Linear position dispalacement transducer – Hiki ni kifaa ambacho kina waya ndani yake ambao huchomoka na kurudi huku kikizalisha signal za umeme kwa current (4 – 20 mA) au 0 – 10 mV, Sawa na umbali au urefu wa waya uliochomoka,
Kifaa hiki hutumika kutambua na kutafsiri umbali ambao mtambo umetembea na kupeleka katika lugha ambayo PLC inaweza kuelewa.