TRICKLE CHARGER

When and How to Use a Trickle Charger - CarsDirect

Habari rafiki yangu,

Leo ikiwa siku ya 57/100 katika uandishi wa makala za kiufundi kwa upande wa instrumentatention,kama ulifanikiwa kusoma makala ya BATTERY CHARGER, basi itakuwa rahisi sana kuelewa kipengere hiki kifupi

MAELEZO YA KINA KUHUSU TRICKLE CHARGER

Tunakubaliana kuwa batteri lolote ukilicharge likajaa na kuliacha kwa muda wa wiki moja au siku kadhaa ukija kulipima kama fundi unalikuta limepungua kiasi cha kushindwa kuwasha gari au generator lako ?

huo ni ukweli bateri kabisa kila betteri linakitu kinaitwa discharging rate at no load ,kwa maana uwezo wa kupoteza nguvu bila ya hata kuitumia., ili kutatua tatizo hilo basi tunahitaji trickle charger

Trickle charger-ni aina ya charger yenye uwezo wa kulicharge battery kati kasi sawa na linavyopoteza nguvu bila ya kumika,charging batteries at discharge rates. kuwepo kwa technology hii kunakusaidia kuweza kutunza batteri lako likiwa lina nguvu muda wote.

MATUMIZI NA UMHIMU WA TRICKLE CHARGER

Aina hii ya charger ni mhimu sana kwenye stand bye Generator , kwa sababu usipotumia aina hii ya charger ni rahisi sana kuharibu battery lako (Overcharging), lakini unapotumia TRICKLE CHARGER unajipa uhakika wa kuwasha generotor muda wowote huku batteri lako likibaki salama kwa muda mrefu.

Pia technlojia ya Trickle charging pia inatumika sana kwenye magari yakawaida , kwa maana ile alternator inamifumo inayodhibiti kuovercharge battery pale linapokuwa linachajiwa

BEST BRAND IN TRICKLE CHARGERS (WAUZAJI WAZURI )

Kama fundi nakushauri utumia moja ya trickle charger kutoka moja ya kampuni zifuatazo kwa ubora na ufanisi wa kazi yako.Ahsante sana kwa muda wako.