Habari rafiki yangu , ikiwa siku ya 24/100
Katika viwanda vyote vya uzalishaji na mitambo mbali mbali asilimia 75 ya mchakato hutegeme mwendo (kwa maana ya vitu kuzunguka au kuhama kutoka mahali pamoja ama pengine), Hivyo tunahitaji vitu ambavyo vitageuza nishati moja kuwa mwendo (motor, Actuator ,Air cylinder , gear boxes , wheel handle n.k)
Pnematic cylinder (Air cylinder ) Hiki nikifaa ambacho hugeuza nisharti ya upepo kuwa mwendo (Motion), tukio hili hufanikiwa pale upepo unaporuhusiwa kuingia kwenye mifumo maalumu ya kifaa hiki na kufanya msukumo wenye nguvu hivyo kuzalisha mwendo wenye nguvu (High torque motion )
Muundo wa silinda za upepo( pneumatic cylinder)
Ufuatao ndio muundo wa ndani wa silinda za upepo