Habari rafiki yangu ,
leo ninakuletea makala fupi kuleta ufafanuzi , juu ya tofauti ya VFD na soft starter
S/NO | SOFT STARTER | VARIABLE FREQUENCY DRIVE |
01 | Ni maalumu kwa ajiri ya kuanzisha motor baada ya hapo inatumika kama contakta ya kawaida | Ni maalumu kwa ajiri ya kuanzisha na kupingilia mwendo sawa na mahitaji |
02 | Hutumia sheria ya kuathiri Voltage ili kudhibiti mtiririko (Over current ) kipindi motor inaanza kuwashwa | Huathiri umara (Frequency ) ili kupata mwendo tunaotaka |
03 | Haiendelei na kupokea wala kutoa taarifa za hali na mwenendo wa motor badala yake husubiri maelekezo ya kuzima ama kuwaka kutoka control room / stations | Huendelea kutoa na kupokea maelekezo juu mwendo wake (Controls input and output signals (4 -20mA) |