Habari rafiki, na msomaji wetu wa makala za kiufundi kutoka kwenye blog yetu ya TECHNICAL TRAINING
leo tunaangazia namna ya KUZINGATIA usalama wa bearing zako kwenye motor ya umeme .
kama tunafahamu motor Hugeuza nguvu kazi ya umeme kuwa nguvu mzunguko (Circular motions)
Bearing ni moja na kiungo mhimu Sana katika ufanisi wa motor ,hivyo ni mhimu KUZINGATIA yafuatayo , Ili kulinda mtambo wako mkubwa kwa usalama zaidi,.
1.Matumizi ya sensor zinazonukuu mtetemo (Vibration sensor) Ili uwe rahisi kugundua mabadiliko na hali ya Bearing mapemo kabla ya breakdown.
2.Kuhakikisha inafungwa vizuri (Proper alignment)
3.Kubadikisha kwa wakati
4.Kuendesha mzigo unaowiana na uwezo wa motor
5.Matumizi sahihi ya vianzishi (Proper mean of starting) soft starter, VFD drive
6.Kuchagua motor sahihi kwa mazingira sahihi na kuhikikisha imepeta certificate husika
Ahsante , nikutakie usiku mwema