PRESSURE GUAGES

Wika Steel Pressure Gauges, For Industrial

Habari rafiki

Leo ikiwa siku ya 34/100 , Leo nimekuletea kipengele mhimu sana kuhusu “PRESSURE GUAGES “

PRESSURE GUAGE -Ni kifaa maalumu kwa ajiri ya kuonyesha au kusoma mgandamizo ”PRESSURE” katika scale ambayo inaweza kueleweka na mtumiaji au Operator ili kumrahisishia kufanya maamuzi ya kuzima au kuanzisha mchakato wa uzalishaji,

Mara nying huwa tunaweza kupima Mgadamizo kwenye kimiminika au gasi (Liquid and Gas ), kwa sababu ya sifa na tabia ya mgandamizo kwenye media hizo (Equal distribution from point A and B ), Ni vigumu sana kupima mgandamizo kwenye vitu vigumu kama vile kokoto, unga n.k

AINA ZA PRESSURE GUAGES

  1. Digital Dispaly
  2. Analogy Display

VIZIO VYA PRESSURE / MGANDAMIZO

  1. Bar
  2. Pascal (pa,Kpa , Mpa)
  3. Pound per Squire Inch PSI

VITU VYA MSINGI VYA KUZINGATIA UNPO AMUA KUNUNUA PRESSURE GUAGE

AINA YA ANALOGIA (ANALOGY DISPLAY)

  1. Upimo wa juu (Maximum range)
  2. Muungo wa mchakato (Process connections )
  3. Kuwa na kimiminika ndani au la
  4. Kibali za mazingira tumizi (Application environment Certifications )
  5. Kipenyo cha nje (Outer Diameter)
  6. Brand nayo ni mhimu ili kudhibiti ubora wake